Katiba mpya: Tanzania tutaiga mfano wa kenya na uganda uraia pacha?

Katiba mpya: Tanzania tutaiga mfano wa kenya na uganda uraia pacha?

environmental

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
1,054
Reaction score
137
Tanzania tupo katika nchi za Africa mashariki na tupo kwenye ushindani wa kibiashara, kiuchumi na kijamii katika nchi hizi. Wenzetu, Kenya na Uganda wameweka milango wazi kwa watu wa Diaspora. Kwa maana nyingine, wameweza kutambua mchango wa wana Diaspora na kuruhusu URAIA PACHA.

Je? Tanzania tupo tayari kwa Uraia wa nchi mbili? Yaani kuingia kwenye sahani moja na wenzetu wa Afrika Mashariki?
 
Back
Top Bottom