Katiba mpya Tanzania

Joined
Jan 9, 2013
Posts
26
Reaction score
12
Katiba mpya ambayo ni tegemeo la watanzania lazima ilenge kuwalinda watanzania wote sio wachache walio katika tabaka tawala. Kivipi
1. Wakulima kupewa kipaumbele na kuwapa uhuru wa kuamua bei za mazao yao.
2. Sera zote zinazohusu uuma kuhusisha uuma katika uamuzi.
3. Watanzania wote kuwa chini ya sheria zilizoamuliwa na kuwekwa na watanzania kupitia njia ya ushirikisho wa wananchi na wataalamu wa sheria sio kuwategemea wao tu.
4.wabunge waishi katika majimbo yao sio kupata ubunge na kuamia Dar.
5. Jaji mkuu wa Tanzania kuchaguliwa na wananchi na si rahis. Mengine ongezea maana ni ucgungu mwingi kuona ombaomba kibao Tanzania wakati mabilioni yanapotea kila siku. Rasiliamali za ibiwa. Na waizi si makabwela bali vigogo na walinzi, utasikia police wakamatwa na meno ya tembo 150, 200. Kweli hii ni Tazania nchi inayodumaa sababu ya watawala wasiojali watawaliwa. "Mungu bariki Tanzania". Ni wimbo uliandaliwa ukitoa taswira ya kuwa nchi itakuwa na dhiki sana na kuwa na haja ya kubarikiwa.
 
Kuhusu hilo la wabunge wakae majimboni kwao haliwezekani kwani hata ukiwachunguza utawagundua walikuja tu kugombea alafu ndo hivyo tena wakishinda,Rais nae aishi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…