-Makada wa Chama Tawala wengi,ni ndumila kuwili, wakiwa hadharani wanaongea maneno ambayo watawala wanapenda kuyasikia.
-Lakini mitaani na wao wana lalamika.
-Prof Kabudi,Kama anasema Katiba ya sasa (1977 na marekebisho yake) iko sawa,kwanini hakuishauri Serikali ya awamu ya nne isitumie fedha nyingi kutunga Katiba Mpya (Tume ya warioba na Bunge la Katiba la Hayati Samwel Sita na Makamu wake SSH).
-Ni uoga wa kiwango Cha juu na uhujumu Uchumi, kutumia fedha za walipa kodi.
Maoni
-Kwa kuwa Makamu wa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba mwaka 2014 na wajumbe wengi bado wapo.
-Ni vema mchakato wa Katiba Mpya ukami lishwe, badala ya kuanza upya