Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kabudi usimhesabie katika kundi la wasomi bali kwenye kundi la wanafiki wakubwa.Kuna mambo mengi ya msingi yanayotakiwa kufanywa na serikali kwa watu wake ukiachana na hilo la katiba mpya ambalo ni la watu wachache. Kuna siku nilimsikia Prof.Kabudi akisema katiba hii ya 1977 imetuvusha katika nyakati ngumu sana hivyo si lazima ibadilishwe kabisa na zaidi ibadilishwe vile vipengele vinavyoonekana vimepitwa na wakati.
Kwa maneno hayo ya kisomi ya Prof.Kabudi nakiri kusema mimi mkulima wa nyanya nimeyaelewa kabisa
Mkandala na Kabudi, wote ni watu walioishi kwa unafiki nyakati zote. Hawa ni watu wa kupuuzwa, wasio na mchango wowote wa maana kwa Taifa.Hivi mlitegemea yule Mukandara wa Redet awe amebadilika na kuleta mapendekezo tofauti juu ya katiba mpya? Mtangoja sana kwa hilo.
Uliouongelea ni upande mmoja tu wa Kabudi, upo upande mwingine wa ualimu wa sheria pale chuo kikuu. Kawafundisha 'mawakili wasomi' wengi tu wanaoshughulikia kesi nyingi maarufu za mijini.Kabudi usimhesabie katika kundi la wasomi bali kwenye kundi la wanafiki wakubwa.
Fuatilia kauli zake mbalimbali zinazokinzana. Alikwishakuambia kuwa amekuwa anaishi jalalani. Mtu aliyeokotwa toka jalalani hawezi kuwa na akili ya kuchambua mambo zaidi ya woga wa kurudishwa kwenye jalala.
Kuna mambo mengi ya msingi yanayotakiwa kufanywa na serikali kwa watu wake ukiachana na hilo la katiba mpya ambalo ni la watu wachache. Kuna siku nilimsikia Prof.Kabudi akisema katiba hii ya 1977 imetuvusha katika nyakati ngumu sana hivyo si lazima ibadilishwe kabisa na zaidi ibadilishwe vile vipengele vinavyoonekana vimepitwa na wakati.
Kwa maneno hayo ya kisomi ya Prof.Kabudi nakiri kusema mimi mkulima wa nyanya nimeyaelewa kabisa
Ukamilishwe kuanzia wapi pale ulipoishia au uanze kujadili upya rasimu?-Makada wa Chama Tawala wengi,ni ndumila kuwili, wakiwa hadharani wanaongea maneno ambayo watawala wanapenda kuyasikia.
-Lakini mitaani na wao wana lalamika.
-Prof Kabudi,Kama anasema Katiba ya sasa (1977 na marekebisho yake) iko sawa,kwanini hakuishauri Serikali ya awamu ya nne isitumie fedha nyingi kutunga Katiba Mpya (Tume ya warioba na Bunge la Katiba la Hayati Samwel Sita na Makamu wake SSH).
-Ni uoga wa kiwango Cha juu na uhujumu Uchumi, kutumia fedha za walipa kodi.
Maoni
-Kwa kuwa Makamu wa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba mwaka 2014 na wajumbe wengi bado wapo.
-Ni vema mchakato wa Katiba Mpya ukami lishwe, badala ya kuanza upya
Tatizo lako umeaminishwa kuwa katiba inahusu siasa tu! Katiba ni zaidi ya siasa inahusu maisha yote ya watanzania pamoja na nyanya zako vinginevyo utaletewa wageni wakuuzie nyanya zako nawe uendelee kubaki masikini wa kuwauzia nyanya wenye magenge na wasafiri.Kuna mambo mengi ya msingi yanayotakiwa kufanywa na serikali kwa watu wake ukiachana na hilo la katiba mpya ambalo ni la watu wachache. Kuna siku nilimsikia Prof.Kabudi akisema katiba hii ya 1977 imetuvusha katika nyakati ngumu sana hivyo si lazima ibadilishwe kabisa na zaidi ibadilishwe vile vipengele vinavyoonekana vimepitwa na wakati.
Kwa maneno hayo ya kisomi ya Prof.Kabudi nakiri kusema mimi mkulima wa nyanya nimeyaelewa kabisa
Karne hii si ya kupeana muda, hauwezi ondoka.Tuwape muda labda.
Wanasema hii amerithi, akimaliza ndyo ataingia mitano ya kwanza ya kuchaguliwa na baada ya hiyo mitano mingine ya kuchaguliwa kulingana na utaratibu waliojiwekea kwenye chama kisha anakuja Mwinyi!Samia mjanja sana.
Anapiga hii minne akimaliza.
Anaingia mitano yake ya mwisho anasepa anamuachia BOMU mwenzie ajaye.[emoji16][emoji16].
Hataki ccm ife mikononi mwake
Kuna swala la kutumuamini mtu tu kwa kuwa Watu wamepoteza imani naye na kuna swala la kutomuamini mtu kwakuwa ni mtu wa kutoaminika.Mkandara ni mtu mzoefu sana kwenye maswala ya siasa naamfanya Tafiti nyingi ktk chaguzi zetu ,kitu ambacho amekiona kwa Watanzania hawako tayari kujipambania wao wanasubiri ubwete ubwete tu halafu wastarehe kwa hiyo na yeye hayuko Tayari kujitoa muhanga kwa watu wasiyo jitambua, Yeye atakula ruzuku zake mpaka hapo atakapo ambiwa basi.Kitendo cha Rwekaza Mukandara kuwa mwenyekiti wa mchakato wa Katiba Mpya ni mkakati wa kuikwamisha tena, Mukandara hana historia nzuri kwenye siasa za vyama vingi kwani ni kada mwaminifu wa CCM, tumekwama tena kwenye tope na Mhe. Zitto analijua wazi hilo.
Mukandara ameanzia baada ya miaka minne ndiyo tuandae katiba mpya! Sababu za msingi hana japo zipo za upande wa kumlinda Rais aliyepo sasa, kwenye katiba Rais ni sehemu tu ya maisha ya watanzania lakini CCM wanaona urais ni kila kitu! Kila kitu kuliko maendeleo ya viwanda! Hiki ndicho kinachotukwamisha watanzania. Kenya wanakatiba mpya na kuna matatizo, lakinimasuala ya uchumi yanalindwa na katiba ndiyo maana tunaona wanagombana kisiasa lakini viwanda vinaimarika, vipo vyo tangu miaka ya 50 huku sisi vya miaka ya 70 tuliua vyote!Kuna swala la kutumuamini mtu tu kwa kuwa Watu wamepoteza imani naye na kuna swala la kutomuamini mtu kwakuwa ni mtu wa kutoaminika.Mkandara ni mtu mzoefu sana kwenye maswala ya siasa naamfanya Tafiti nyingi ktk chaguzi zetu ,kitu ambacho amekiona kwa Watanzania hawako tayari kujipambania wao wanasubiri ubwete ubwete tu halafu wastarehe kwa hiyo na yeye hayuko Tayari kujitoa muhanga kwa watu wasiyo jitambua, Yeye atakula ruzuku zake mpaka hapo atakapo ambiwa basi.