johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa Tozo za watu gani? Why all this costs?; Kuna shida gani ya kuwa na nchi moja?! Rai's mmoja, vice wake then PM. The rest ni magavana tu. Mbona kudislove Zanzibar ni rahisi tu?! Tanganyika the giant ilipotea kwenye uso wa Dunia sembuse kakisiwa?😡😡Ni mapendekezo tu
Rais wa JMT akitoka Zanzibar Waziri mkuu awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Rais wa Zanzibar awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT
Rais wa JMT akitoka Bara
basi Rais wa Zanzibar awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Waziri mkuu awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT
Nawasilisha!
Wanadai, 1 + 1 = ???Mimi nijuavyo ukiunganisha vitu viwili basi utapata kimoja sasa inakuaje unaunganisha vitu viwili na bado unabaki na viwili tu hapo huo muungano ni wa kiwaki tu
KATIBA MPYA IIRUDISHE KWANZA NCHI YA TANGANYIKA KISHA TUWE NA MARAIS 3 KINARA WAO AWE RAIS WA JMT HAWA WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WAWE WATENDAJINi mapendekezo tu
Rais wa JMT akitoka Zanzibar Waziri mkuu awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Rais wa Zanzibar awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT
Rais wa JMT akitoka Bara
basi Rais wa Zanzibar awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Waziri mkuu awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT
Nawasilisha!
Haitakiwi Mzanzibari awepo kwenye nafasi yoyote ya serekali iliyo nje ya mambo ya muungano., kwasababu hayo ni mambo ya Tanganyika. Na hivyo hivyo kwa Mtanganyika.Ni mapendekezo tu
Rais wa JMT akitoka Zanzibar Waziri mkuu awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Rais wa Zanzibar awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT
Rais wa JMT akitoka Bara
basi Rais wa Zanzibar awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Waziri mkuu awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT
Nawasilisha!
Zanzibar iwe ni mkoaYote ya nini si kuwe tu na Rais mmoja,why Zanzibar iwe na Rais halafu Tanganyika isiwe na Rais?
Kwanza muungano uvunjwe harakaHaitakiwi Mzanzibari awepo kwenye nafasi yoyote ya serekali iliyo nje ya mambo ya muungano., kwasababu hayo ni mambo ya Tanganyika. Na hivyo hivyo kwa Mtanganyika.
Duh!, kumbe wewe ni dogo sana!.Ni mapendekezo tu
Rais wa JMT akitoka Zanzibar Waziri mkuu awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Rais wa Zanzibar awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , kwanza nikupongeze!Rais wa JMT akitoka Bara
basi Rais wa Zanzibar awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Waziri mkuu awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT
Nawasilisha!