Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 790
kulingana namaendeleo ya teknoma upashanaji wa habari kijana wa miaka 14 anauelewa mpana sana kuliko kijana wa 14 miaka ya 1977 wakati katiba ya sasa ikitungwa. hivyo basi kama ilivyo tunataka rais awe na umri mdogo.... mpiga kura pia aweza kuwa nanumri mdogo... maana information is power and knowledge vijana wa sasa wa miaka 14 wako fiti kuliko wa miaka 22 wa 19777. hivyo basi katiba ya sasa itambue mtu mkubwa anaanzia 14 years na awe na haki ya kupiga kura.