Akili zako zinaonesha una miaka 14 hiyo hiyo na unadhani mtu akiweza kufungua web browser basi anaweza pia kuwa baba wa familia.
Kupiga kura na kufanya ngono mnakimbilia mno na mnataka kwa ajili ya hayo mtambuliwe kuwa wakubwa, ila mkishitakiwa mahakamani, mnaomba poo kuwa bado mu wadogo akili zenu hazijapevuka. Zitto kawaharibu sana watoto wenzake, sitashangaa kesho nikisikia wazo hili umeliweka ili ugombee ubunge na miaka yako 14