Katiba Mpya,Wana CCM wengi wanahitaji kufanyiwa "Tohara"ya namna hii!

sokoinei

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
1,832
Reaction score
566
Katika maandiko ya Biblia neno Tohara limetumika sio kama tendo la kukata sehemu za baadhi ya viungo vya mwili,ila limetumika kuonyesha uwezo wa akili ya mtu!

Biblia inasema kutahiriwa au kuto tahiriwa sio kitu! Lakini hapo hapo ikafafanua kuhusu aina ya "Tohara" inayoitajika mtu kuwa nayo! Tohara ya roho ndio inayozungumziwa hapa na maandiko.

Viongozi wengi km sio wote wa CCM kwa sasa wanahitaji kupata"Tohara" ya MIOYO ili kuwa na Uzalendo kwa nchi na kuacha kufanya mambo kwa kufuata mkumbo. Wengi wa viongozi wa CCM wanajua kwamba Mchakato mzima wa Mswada wa marekebisho ya Sheria ya Katiba mpya uliopitishwa na bunge(Ccm) haukukidhi Vigezo hata rais ausain ili uwe sheria.

Wabunge wa Upinzani kususia muswada ule bungeni ni sahihi kabisa kwa kuwa kwanza waliopitisha hawakuwa theluthi 2 km ambavyo sheria inatamka,lakini pia Muswada ule umeongezwa vipengele 5 tofauti na awali ilipokua na vipengele 6.
Wadau wote ktk muungano hawakushirikishwa ktk kuongeza vipengele hivyo na hata ktk kutoa maoni jambo ambalo hata Waziri wa sheria na katiba Chikawe na Waziri ktk ofisi ya waziri mkuu na uratibu wa bunge Lukuvi kwa nyakati tofauti wamekiri kuwepo kwa mapungufu

Viongozi wa CCM wanahitaji "Tohara" ya Mioyo na akili ili waweze kukubali kukosolewa na kukiri pale ambapo wamekosea na kuomba msamaha.
 
Maneno ya busara sana sokoine sijui una umri gani lakini umeonyesha ukomavu sema majitu yenyewe yanaishi kwa kusubiri corus
 
Sana Lakini CCM hata wakitairiwa ndimi zao hawataeza tena kuwatumikia watanzania Asee!
 
Back
Top Bottom