Supervisor
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 559
- 208
Nilipata fursa kuongea na watu waliowahi kuwa darasa moja la sheria na Werema. Mwalimu wao alikuwa ni Dr. Harisson Mwakyembe. Wanasema kuwa Werema alikuwa mwanafunzi dull sana darasani. He had a thick head. Uelewa wake wa mambo na sheria ni mdogo sana, huwa anatumia ukali, nguvu na kufoka zaidi kwa vile anashindwa kujieleza kwa ufasaha na kujenga hoja.
He is an academic and professional misfit, ndiyo maana hata Bungeni anapata shida kujibu hoja za kisheria.