Katiba mpya ya chadema hatuitaki

Katiba mpya ya chadema hatuitaki

charityboy

Senior Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
138
Reaction score
4
Tunataka katiba mpya ya wananchi wote sio maslahi ya CHADEMA. Hii nchi tuna uchungu nayo. Tutapambana mpaka kufa lakini Chadema haishiki madaraka nchi hii. Waende wakachunge ngo'mbe.
 
nyooo ! ndo maana huna meno we ukidhani yapo
 
Tunataka katiba mpya ya wananchi wote sio maslahi ya CHADEMA. Hii nchi tuna uchungu nayo. Tutapambana mpaka kufa lakini Chadema haishiki madaraka nchi hii. Waende wakachunge ngo'mbe.

HAAAA,SASA WEWE!!!!!!!!!!!
Hivi sometimes kumbe ukitaka ujue mawazo ya mtu yalivo oza/mazuru angalia angalia thread anazo anzisha
 
mtahama nchi hii, CDM hamfai kabisa na nahisi nyinyi si watz
 
wewe huna akili

Kama wewe si mwana-CHADEMA katiba YA chama hicho, kama ulivyoandika hapo juu, kinakuhusu nini tena???

Au pengine ni kwamba hasa ulikua unamaanisha RASIMU SIFURI yenye mapendekezo mambo ya kuingiza katika KATIBA MPYA ya taifa???????

Na unaposema HAMUhitaji katiba ya CHADEMA hapa unamaanisha akina nani hao?
 
Hivi wewe unaishi dunia ya ngapi? Pole sana ndugu yangu. Hii nchi siyo ya CCM.
 
Tunataka katiba mpya ya wananchi wote sio maslahi ya CHADEMA. Hii nchi tuna uchungu nayo. Tutapambana mpaka kufa lakini Chadema haishiki madaraka nchi hii. Waende wakachunge ngo'mbe.

wee aliyekuloga kafa
 
Tunataka katiba mpya ya wananchi wote sio maslahi ya CHADEMA. Hii nchi tuna uchungu nayo. Tutapambana mpaka kufa lakini Chadema haishiki madaraka nchi hii. Waende wakachunge ngo'mbe.

Ujitahidi kushirikisha ubongo na viungo vingine vya mwili wako...ata kama hujulikani we ni nani but unapoamua kupost threads yoyote basi iweke ieleweke vizuri
 
Hivi ndugu yangu Charity, nani kakwambia CHADEMA wanatunga katiba ya kuendesha nchi?

CHADEMA inachofanya ni shinikizo la kuonesha kuwa kuna haja ya kuwepo kwa katiba mpya kutokana na hii iliyopo sasa kuwa na mapungufu mengi.

Ndio maana ofisi za bunge hawakupeleka katiba, walichopeleka ni motion ya kutaka bunge kujadili na kuona haja ya kupitisha mchakato wa uanzishwaji wa uundwaji wa katiba mpya.

Pia inaonekana hufuatilii kauli za unaowahukumu. mara zote wanaongelea mchakato wa uundwaji wa katiba mpya, TENA KATIBA ITAKAYOUNDWA NA WATANZANIA WENYEWE kwa kuwa iliyopo sasa iliundwa na kakikundi ka watu wa chache na si watanzania wenye nchi.

FUATILIA KABLA YA KUANDIKA KITU ILI USIONEKANE WA AJABU. Ni ushauri wangu kwako!
 
Tunataka katiba mpya ya wananchi wote sio maslahi ya CHADEMA. Hii nchi tuna uchungu nayo. Tutapambana mpaka kufa lakini Chadema haishiki madaraka nchi hii. Waende wakachunge ngo'mbe.

Kwa hiyo katiba inayotuongoza siyo ya Tanzania bali ya CCM? hakuna anayezungumzia katiba ya Chadema bali ya Tanzania. Kama wewe unafikiri harakati za Chadema kudai katiba ni za katiba ya Chadema una walakini katika ubongo wako. Madai ya Chadema ni katiba mpya ya Tanzania siyo ya Chadema. ukome kutupotosha
 
Hivi kuna haja ya kuchangia mada mfu kama hii? Dawa ya watu sampuli hii ni kuwaacha wajijibu wenyewe.
 
Labda yupo kwenye mood swings cz yuko kwenye cku zake!
 
Hvi wwe unasoma chekechea wp?au una ugonjwa wa akili wa muda mrefu maana cpati picha kamili unatatizo gni au ndio succesor MS!ure sick person pls seek attention.
 
Nafikiri unaakili timamu ila umefanyakusudi tu kupima akili za watu
Haya ahsante sana najua umeridhika na majibu uliyopewa
 
Tunataka katiba mpya ya wananchi wote sio maslahi ya CHADEMA. Hii nchi tuna uchungu nayo. Tutapambana mpaka kufa lakini Chadema haishiki madaraka nchi hii. Waende wakachunge ngo'mbe.

Mimi sioni tatizo la chadema kuchunga ngombe,nachoelewa hakuna mtu mwenye shida sana na madaraka kama unavyozani vinginevyo nchi hii ingekuwa Ivorycost leo.

Tazama,fikiri kwa makini acha kuropoka.Nenda kwa Jk mwenye uchui na madaraka.
 
Tunataka katiba mpya ya wananchi wote sio maslahi ya CHADEMA. Hii nchi tuna uchungu nayo. Tutapambana mpaka kufa lakini Chadema haishiki madaraka nchi hii. Waende wakachunge ngo'mbe.

Mawazo yako nafikiri bado ya kichanga kinachtoka tumboni kwa mama yake, na hii umeprove make we bado member, so bado mtoto kwenye hii forum, please jaribu kuwaconsult kaka/dada zako kwa ushauri kabla ya kupost thread yoyote
 
Back
Top Bottom