NI muhimu tukusanye sahihi za wananchi 10milioni ili tupeleke petition mahakamani kudai mchakato wa katiba kukamilishwa.
Wadau hili si la cdm wala ccm. Ni haki ya watanzania wote kwa ajili ya kuhakikisha tunatawaliwa kwa haki na amani na kuwa serikali zetu ziwajibike kwetu.
Katiba mpya itahakikisha uhuru wa mihimili ya dola na kunakuwepo na demokrasia pana hasa uhuru wa kiraia na vyombo vya habari.
Haki ya elimu bora na haki ya kumiliki rasilimali zetu kwa maendeleo endelevu ya vizazi vyetu.
Leo nani anajua kesho yake?