Sijui umekula maharage ya wapi wewe,ona unatutapikia sasa.Raisi Uhuru Kenya wa Kenya akilalamika kwamba Rushwa imezidi na kusambaa kila mahali analaumiwa na kila mtu kwamba anapaswa awashughulikie lkn na yeye cha ajabu analia pia na kulalamikia Mahakama sijui Mwanasheria Mkuu mara Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu na blah blah!
Huu ndiyo ujinga chadema/ukawa walitaka kutuletea hapa TZ yetu? Kuwa na Raisi asiye na meno wala madaraka yoyote, anakaa analialia Ikulu badala ya kuchukuwa hatua?
Nasema Raisi Magufuli Katiba yetu usiiguse, anayetaka Katiba mpya ahamie Kenya, hatutaki kuishi kwenye nchi ambayo Raisi naye analia sasa nani atatue matatizo?
Hapa TZ kwetu ni Amri tu Raisi wa JMTZ akisema ni Sheria na Amri haipingwi popote na hiyo ndiyo nchi ninayoitaka!
Maendeleo chap chap!
Raisi Uhuru Kenya naye akilia kwamba Rushwa imemshinda kuiondoa/kuipunguza!
Nani kakwambia katiba mpya inaleta ufisadi?Raisi Uhuru Kenya wa Kenya akilalamika kwamba Rushwa imezidi na kusambaa kila mahali analaumiwa na kila mtu kwamba anapaswa awashughulikie lkn na yeye cha ajabu analia pia na kulalamikia Mahakama sijui Mwanasheria Mkuu mara Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu na blah blah!
Huu ndiyo ujinga chadema/ukawa walitaka kutuletea hapa TZ yetu? Kuwa na Raisi asiye na meno wala madaraka yoyote, anakaa analialia Ikulu badala ya kuchukuwa hatua?
Nasema Raisi Magufuli Katiba yetu usiiguse, anayetaka Katiba mpya ahamie Kenya, hatutaki kuishi kwenye nchi ambayo Raisi naye analia sasa nani atatue matatizo?
Hapa TZ kwetu ni Amri tu Raisi wa JMTZ akisema ni Sheria na Amri haipingwi popote na hiyo ndiyo nchi ninayoitaka!
Maendeleo chap chap!
Raisi Uhuru Kenya naye akilia kwamba Rushwa imemshinda kuiondoa/kuipunguza!
Nani kakwambia katiba mpya inaleta ufisadi?
Nani kakwambia katiba ya zamani inapambana na ufisadi?
Zingekuwa katiba za zamani zinapambana na ufisadi, Leo IPTL ingejuwa inalipwa milion 400 kila jua likizama......?
Mnatia kinyaa bwana nendeni shule basi muongeze elimu kiasi......
Nimemsikia sana lakini hiyo sio sababu ya wewe kuongeza mambo yako hapo ni kweli unaweza tengeneza katiba mbovu ....Umemsikiliza kwanza Raisi Uhuru Kenya alichokisema? Msikilize kwanza kama ukipenda ndiyo urudi kwa maana ndiyo Maudhui ya mada yote, hivyo kama haujamsikiliza Mada inapoteza maana kwa maana tutakuwa tunajadili nje ya kile alichokiongea!
Hapa naona 1% imetumika 99% watakujazitumia vitukuuRaisi Uhuru Kenya wa Kenya akilalamika kwamba Rushwa imezidi na kusambaa kila mahali analaumiwa na kila mtu kwamba anapaswa awashughulikie lkn na yeye cha ajabu analia pia na kulalamikia Mahakama sijui Mwanasheria Mkuu mara Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu na blah blah!
Raisi Uhuru Kenya naye akilia kwamba Rushwa imemshinda kuiondoa/kuipunguza!