Katiba mpya

Katiba mpya

mkongongojo

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
245
Reaction score
156
Je, Katiba Mpya ni matakwa ya Serikali au ni matakwa ya wanachi? Nimemsikia kiongozi mmoja toka CCM anasema serikali ya Safari hi haioni umhuimu wa katiba mpya.

Je, katiba ipo kwa ajili ya Serikali au wanachi? Tusipotoshwe na kauli hizo. Wanachi wanahitaji kupata katiba na wala sio viongozi Serikalini.

Sisi wanachi tunahitaji katiba mpya kwa manufaa na maendeleo ya wanachi.
 
Ccm hawapendelei majadiliano ya Katiba mpya Wanajua itawabana tu

Ova
 
Back
Top Bottom