Je, Katiba Mpya ni matakwa ya Serikali au ni matakwa ya wanachi? Nimemsikia kiongozi mmoja toka CCM anasema serikali ya Safari hi haioni umhuimu wa katiba mpya.
Je, katiba ipo kwa ajili ya Serikali au wanachi? Tusipotoshwe na kauli hizo. Wanachi wanahitaji kupata katiba na wala sio viongozi Serikalini.
Sisi wanachi tunahitaji katiba mpya kwa manufaa na maendeleo ya wanachi.