Finder boy JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 608 Reaction score 150 Oct 12, 2012 #1 Wiki ijayo tume ya katiba mpya itakuwa mtaani kwetu. Naomba wanajf mnambie ni mambo yapi yaondolewe kwenye katiba iliyopo na mambo yapi yawekwe kwenye katiba mpya. Naomba mchango wenu iliniwasilishe kwa maendeleo ya nchi yetu.
Wiki ijayo tume ya katiba mpya itakuwa mtaani kwetu. Naomba wanajf mnambie ni mambo yapi yaondolewe kwenye katiba iliyopo na mambo yapi yawekwe kwenye katiba mpya. Naomba mchango wenu iliniwasilishe kwa maendeleo ya nchi yetu.