M MZEE JAY Member Joined Jun 13, 2013 Posts 9 Reaction score 3 Jun 14, 2013 #1 Nimeipitia katiba mpya na kuona ni nzuri lakini kwanini suala la mapambano dhidi ya rushwa lisiingizwe katika Muungano Naomba ufafanuzi nipa mwanga na mimi
Nimeipitia katiba mpya na kuona ni nzuri lakini kwanini suala la mapambano dhidi ya rushwa lisiingizwe katika Muungano Naomba ufafanuzi nipa mwanga na mimi
Woga tupa kulee JF-Expert Member Joined Sep 4, 2012 Posts 1,752 Reaction score 1,311 Jun 17, 2013 #2 pamoja na kujadili suala la rushwa, nashauri watu wasome pia kitabu hiki hapa chini ili watoe maoni yao kwenye katiba. download hapa chini. View attachment 97966 View attachment 97966 View attachment 97966
pamoja na kujadili suala la rushwa, nashauri watu wasome pia kitabu hiki hapa chini ili watoe maoni yao kwenye katiba. download hapa chini. View attachment 97966 View attachment 97966 View attachment 97966