Katiba mpya

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,089
Reaction score
424
Habari wajumbe,

Siungi mkono hoja ya katiba mpya kugeuzwa kama hoja ya ccm au chadema mana Katiba mpya ni kwa ajili ya nchi nzima na sio kichama na sio Chama kimoja kiwashawish watu wachague mawazo sawa na wanavotaka wao na hata ukilia sidhani kama unamuelimisha mtu,tunataka hoja za kutuconvince ili tuone uhalali wa jambo na ndo tukuelewe na kukuunga mkono na sio tuanze kusema mpaka mtu mkubwa akilia basi ujue jambo limekugusa,kuna mwinine analia kwa ajili ya kujionesha tu mbele ya chama na kiukweli toka moyoni siungi mkono uteuzi wa Mkubwa kwa hawa wajumbe,kwa nini usingefanyika kama uchaguz mdogo wa kuchagua wajumbe toka kila mkoa+kila chama kinatoa wajumbe 10,asasi nazo zitoe watu wao yani tungeminimize cost kuliko kwa yanayofanyika mana asilimia kubwa ni wachama flani na tutegemee nini kipya?

Narudia tena kusema kua tumechezea hela zetu watanzania na tunapoteza muda wa watanzania na ni fursa ya watu kujijenga kiuchumi mana Posho wanayopata kwa siku ni zaidi ya mshahara wa walimu au wafanyakazi wa Steel masters

Mkubwa inafika hatua yabidi ufanye uamuzi mgumu na kuwatosa washkaji kwa maendeleo ya nchi mana hao hao washkaji ndo wanaokuangusha.

Nimesoma makala wanasema uchumi wa Tanzania uko juu,kivip?au wameunganisha resource zote tulizonazo like Valuable minerals ambazo hatujazivuna au na wanyama tulionao ambao wanategemea kuvuna.
 
mweshimiwa rahisi kamaliza kazi yake kwani ametekeleza matakwa ya kuwapa watu wake katiba. Lakini wanaojadili mjengoni ndo wanamwangusha kweli. Ila kitaeleweka tuu mungu atasaidia.
 
mweshimiwa rahisi kamaliza kazi yake kwani ametekeleza matakwa ya kuwapa watu wake katiba. Lakini wanaojadili mjengoni ndo wanamwangusha kweli. Ila kitaeleweka tuu mungu atasaidia.

Kaka sidhani kama kamaliza mana hata uteuzi wa watu haukua wa wazi na ametumia vigezo gani kuteua hao watu,sawa ni gharama kufanya uchaguz ila kwa nini tusifanye kitu kama hicho mana sasa hivi watanzania wana akili nzuri kama ukitoa hela wanakula ila kura kwa mwenye lugha na utendaji mzuri na sio neno ntafanya hivi,nadhani tunastahili mtu aliesema ntafanya hivi na hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…