Mimi kama mtanzania safi napenda kuishauri serekali iweke kipengele kinachoonyesha idadi ya watanzania walioenda loliondo kwa babu kwa ajili ya kutibiwa..hii itatusaidia kujua babu alipata shilingi ngapi ili itusaidie kumtoza paye
babu akifa je?bunge lije kitoa? hao ni TRA na vyombe vingine vya serikali vije na data halfu waangalie pa kupata kodi na mapato mengine yanayotokana na ujio wa wageni.