Jana nilikuwa na sikiliza wagombea WA TLS suala moja wapo waliongelea ni kuhusu Maamuzi ya mahakama juu ya Kesi ambazo ni kinyume cha katiba, ambazo Kwa namna moja au nyingine Bunge linatakiwa kuzirekebisha ili ziendane na Katiba, lakini Bunge halifanyi hivyo.
Sasa suala la kujiuliza ni Bunge lipo juu ya katiba au katiba IPO juu ya Bunge. Kama Katiba ipo juu, basi ni vizuri Maamuzi ya mahakama yatekelezwa kikao cha Bunge kinavyofanyika baada ya uamuzi huo, kinyume cha hapo Inakuwa haina maana ya Mazula ya kikatiba kwenda mahakamani ikiwa Bunge linaweza kufanya inavyo taka.
Pili nime msikiliza Mgombea moja ambaye alizuiwa kugombea Kwa kusema baadhi ya viongozi wakuu WA nchinkuwa walikosea, na ikathibitishwa hivyo na mahakama.
Sasa ni vizuri kama nchi hii ikafuata utawala wa kisheria, basi hata mkubwa akikosea, Hali hiyo irekebishwe.
Na zaidi ya hapo hao viongozi hawatakiwi kukosea kwani wana kings ya kuwa na Means Sheria Mkuu wa Serikali ambaye atawajibika Kwa kumshauri vibaya Kiongozi Mkuu wa Nchi. Na baada ya hapo jambo hilo linatakiwa libadilishwe. Kinyume cha hapo hatuitaki Mema nchi hii. Yaani walio juu na walio chini. Maana kuna mahali tunakutana kama Binadamu. Kuna kuzaliwa na kunakufa.