Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Wadau nawasabahi.
Pamoja na Elimu ndogo ya Mambo ya sheria lakini nimepata mashaka kidogo juu ya KATIBA na TUME ya UCHAGUZI.
Binafsi naamini KATIBA ndio Chombo cha Sheria zote za Nchi. Vitu vingine vyote lazima vianzishwe kwa kuzingatia KATIBA inasemaje.
Nilitarajia TUME ya UCHAGUZI ingebadili Jina kwa Sheria iliyopo kwenye KATIBA kwani KATIBA yetu bado inaitaja TUME ya UCHAGUZI haiseme tuna TUME HURU ya UCHAGUZI.
Je, Wanasheria hii TUME HURU ya UCHAGUZI ni halali kuitwa hivyo kwa MUJIBU wa KATIBA? Je, KATIBA inaitambua TUME HURU ya UCHAGUZI?
Je, kuwa na TUME HURU ya UCHAGUZI bila KATIBA kusema ni UVUNJIFU wa KATIBA?