Katiba na uelewa

Mimibaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
4,557
Reaction score
1,294

Jamani ebu tujadili hoja ya Katiba na Uelewa kwa jamii isiyojua kusoma na kuandika. Tunaweza kufanyeje ili kufikisha ujumbe wa kuwashirikisha hata wasiojua kusoma na kuandika kuchangia mawazo yao kikamilifu. Kikubwa zaidi ni jinsi ya kuwajengea ujasiri na imani ya kutambua michango yao kuwa ni muhimu katika zoezi zima kama sehemu ya ushirikishwaji wa kila mwananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…