Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ni mimi meneja wa makampuni naomba hii maana ikumbukwe vizazi na vizazi ya kwamba.
"Katiba ndio moyo wa taifa"
Shughuli zote zinazofanywa ndani ya nchi zinasukumwa na katiba ambao ndio moyo.
Moyo ukiwa mbovu hushindwa kusukuma damu vizuri mwilini na kupelekea mwili kushindwa kufanya kazi zake ipasavyo.
Hata katiba ni vivo hivyo katiba ikiwa mbovu hufanya serikali ishindwe kufanya kazi zake vizuri ili kuwaletea wananchi maendeleo.