Katiba ni tiba kwa Tanzania

Katiba ni tiba kwa Tanzania

Tohoa

Member
Joined
Sep 13, 2021
Posts
37
Reaction score
30
Kwa tulipo sasa katiba no muhimu sana kwa Tanzania. Magufuli anatakiwa kupongezwa kwa kuongeza uelewa juu ya umuhimu Wa katiba mpya.Naamini wananchi wanaweza kushiriki vyema kukusanya maoni ya katiba mpua kulikp mwaka 2014.
Napendeleza yafuatayo
1. Iache mijadala ya katiba itawale kwenye jamii
2. Mijadala hii iongozwe na vyama siasa na mashirika mengne
3.Sehemu ya tozo za simu ipelekwe kwa asaysi na vyama vya siasa ili kupata machapisho mengi ya katiba
 
Back
Top Bottom