hivi wadau, katiba mpya itakuja kukamilika lini? unajua kipya kilianzishwa ili kuziba mapengo yaliyomo kwenye chakale, sasa kama hiki kipya kinachelewa maana yake tutaendelea nayo mapungufu tu? nashauri wadau wakishughulikie , kwanza ni faida kwa raia kama mimi, pili gharama zilizotumika kuandalia zisiende bure