Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,451
Ni jambo limetokea jana mpaka watu wakaanza kueneza uvumi kwamba Mama amefariki? Kama Katiba ingesema kitu specific kuhusu familia ya . Mwalimu Nyerere,jambo hilo lisingetokea. Kwa mfano katiba ya Uingereza inasema the crown is above the court. Ingekuwa vizuri kama provizo hiyo ingekuwa hapa Tanzania, halafu familia Nyerere ingekuwa juu ya mahakama. Ndio hio tu complaint yangu kuhusu katiba mpya otherwise naona kwamba it is fine.