Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,451
Ni jambo limetokea jana mpaka watu wakaanza kueneza uvumi kwamba. Mama amefariki? Kama. Katiba ingesema kitu specific kuhusu familia ya . Mwalimu. Nyerere,jambo hilo lisingetokea. Kwa mfano katiba ya uingereza inasema the crown is above the court. Ingekuwa vizuri kama provizo hiyo ingekuwa hapa tanzania,halafu familia nyerere ingekuwa juu ya mahakama. Ndio hio tu complaint yangu kuhusu katiba mpya otherwise naona kwamba it is fine.
Napinga ukomo wa kugombea urais. Rais achaguliwe as long as people want him to be president. Achaguliwe mtu ambaye anaweza kuleta the greatest good to the greatest number of people for the greatest amount of time.