Katiba pendekezwa inaniudhi

Joined
Feb 14, 2015
Posts
47
Reaction score
6
Wasalam
Jamani nimesoma katiba hii kuna baadhi ya vitu imeeleza vizuri tu ila kitu kimeniudhi zaidi ni ukurasa wa 59 sura ya saba ambayo inahusu muungano, nanukuu "serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania itakua na muundo wa serikali mbili ambazo ni Jamhuri ya muungano na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar " Swali ni kwamba kwani nini maana ya jamhuri? Kwa nini wasiseme serikali ya Tanganyika na serikali ya Zanzibar? Wakati maana halisi ya neno muungano ni nchi mbili kuungana? Kwanini hii ya Tanganyika weseme tu kwamba serikali ya jamhuri ya muungano ? Wakati ukisema tu muungano tayari ushamanisha muunganao na tayari tuna muungano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…