Mimi ni mwanamichezo mwenye lengo la kuendelea katika sekta nzima ya kimichezo
natakata kufanya maamuzi sahihi hapo tarehe 30 mwezi huu kwa kuichagua KATIBA HII INAYOPENDEKEZWA
lakini nina uelewa mdogo wa masuala ya kikatiba hasa katika masuala yanayolenga makundi ya VIJANA na SANAA hasa katika Michezo na Burudani
wadau wa JF NAOMBENI MSAADA.
NAWASILISHA