mwakweya70
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 414
- 106
Salaam wana jamvi,sitaki kuandikia mate na wino upo, ndani ya katiba Pendekezwa tutafakari wote sura ya kwanza sehem ya pili:-
SURA YA KWANZA YA KATIBA PENDEKEZWA.
"SEHEMU YA PILIMAMLAKA YA WANANCHI, UTII NA HIFADHI YA KATIBAMamlaka ya 7.-(1) Wananchi ndiyo msingi wa mamlaka yote, na kwa hiyo: Wananchi (a) Serikali itapata madaraka na mamlaka yake kutoka kwa wananchiambao kwa umoja na ujumla wao wanaimiliki na kuipatia Katiba hiiuhalali;(b) lengo kuu la Serikali litakuwa ni maendeleo na ustawi wa wananchi;(c) Serikali itawajibika kwa wananchi"
Katika kipengele hiki naona jinsi katiba hii pendekezwa inavyotoa uhuru wa kuamua mambo kwa kiasi kikubwa kabisa,nakubaliana na kipengele hiki.
Ukisoma kifungu kwa kifungu ndo utagundua uzuri wa yaliyomo ndani ya katiba pendekezwa.