mwakweya70
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 414
- 106
bora wewe umenena maana watu wanadhani ni ya Chenge ama ya Ccm wanasahau kuwa ikipita wao ndo wataitumi.Nashawishik kuuliza swali hilo!baada ya kuhisi kuna baadhi ya watu kutokana na uchangiaji wao,Hamasa zao hasi kuhusiana na katiba pendekezwa inanifanya kuamini wazi kuwa hawana jibu la swali hili kwamba hivi katiba pendekezwa ni Mali ya nani!maana Mtu anaropoka Mara oooh ni ya ccm Mara oooh ni hawa AMA wale kwangu hayo ninaona ni Kama kutokuelewa jibu la swali hii katiba ni ya nani.natoa jibu jaman hii katiba ni Mali ya Sie watanzania wote!hatuwezi kujitenga na mchakato wa katiba na kushindwa kupatikana kwa katiba haiwezi kuwa ujanja Bali ni ujinga!mtupu hivyo tuisome tuelewe kwa nia njema!
Kweli Katiba Inayopendekezwa wengi wanaokurupuka kwa kuchangia wanasema mengi kuhusu Katiba hii. Wengine ni wapotoshaji kabisa. La msingi ni kama unavyoshauri watu waisome na wafuatilie mijadala ya wataalamu ihusuyo Katiba Inayopendekezwa. Kwa kufanya hivyo wataacha kuropoka na kupotosha watu.Nashawishik kuuliza swali hilo!baada ya kuhisi kuna baadhi ya watu kutokana na uchangiaji wao,Hamasa zao hasi kuhusiana na katiba pendekezwa inanifanya kuamini wazi kuwa hawana jibu la swali hili kwamba hivi katiba pendekezwa ni Mali ya nani!maana Mtu anaropoka Mara oooh ni ya ccm Mara oooh ni hawa AMA wale kwangu hayo ninaona ni Kama kutokuelewa jibu la swali hii katiba ni ya nani.natoa jibu jaman hii katiba ni Mali ya Sie watanzania wote!hatuwezi kujitenga na mchakato wa katiba na kushindwa kupatikana kwa katiba haiwezi kuwa ujanja Bali ni ujinga!mtupu hivyo tuisome tuelewe kwa nia njema!