Katiba pendekezwa ni nzuri ukijadali bila povu!!!!

mwakweya70

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
414
Reaction score
106
Kusema ukweli katika maisha ya kila siku ya mtanzania,katiba hii pendekezwa ukiijadili bila jazba na kutoa povu la ushindan bila hoja ndo mbaya! Lakini kwa ustawi wa tanzania ijayo katiba hii haina ubaya bali ni kilanga cha watu hasa tusiochanganya na zetu!ama sie wengine ni matokeo ya kuishi kwa kuambiwa ama maisha ya kanitukanie flani!kwa jambo mhimu la katiba halafu tukastaafu kufikiri na kukaririshwa kuwa katiba haifai ni utoto!katiba pendekezwa inafaa kwa tunaoongeza na zetu!ila kwa akina kanitukanie fulani hapo matusi ya kimoyo moyo tayari hahaaaaa
 
Duh mkuu umechanganya lugha hapo as if ukiongea kijamaica!! hahahaha lakini nimekupata kiaina ingawa dah hujasomeka vizuri, vema ungefunguka vzur ukaeleweka.
 
Back
Top Bottom