Yes and NO!! Kuna kitu hamukijui,Yes, kuna agenda ya siri!NO
Ambacho hamukijui ni kuwa kwenye katiba kunatakiwa kuwe na ufumbuzi wa kisheria na kikanuni bila ya kuacha loopholes zitkazoweza kupindisha nia ya katiba,mfano katiba hii inasem wakulima wana haki,ni sawa lakini vipi akitokea mtu wa kuivunja haki hiyo?kuna ulinzi wowote utakaoupata kikatiba?au ukishaambiwa una haki basi unaridhiiika?kama ni hivyo basi hata kaatiba ya zamani haikuwa na tatizo, then kuhusu maadili ya viongozi wa umma katiba ya chenge inasema Bunge litatunga sheria kama litakavyoona inafaa!! Sasa huu ni uchupi kabisa!! Yaani tutunge katiba leo,tuipigie kura kesho,halafu sheria nyingine za kikatiba zitungwe kesho kutwa?????!!!!! Atakayeafiki hilo lazima awe ni punguani,vipi kuhusu haki ya wananchi kumwajibisha kiongozi mzembe?? Katiba yako inasemaje?yaani hii takataka ya chenge ni sawa na zile sugar coated chloroquin za zamani,nje imepakwa sukari lakini ndani ni shubiri,wewe piga kura yako ya ndiyo wenye akili watapiga ya HAPANA.