mwakweya70
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 414
- 106
Katiba pendekezwa sura ya Tatu,madaraka ya umma, kuanzia ibara ya 124 sehemu ya kwanza hadi 3. Binafsi naona masuala ya madaraka ya umma yapo wazi.sema ndiyo kwa katiba pendekezwa!zaidi ya hapo ni ubishi bila hoja

Yes and NO!! Kuna kitu hamukijui,Yes, kuna agenda ya siri!NOHivi ukiwauliza wachungaji ni kwa nini hawataipigia kura ya NDIO katiba wanakuambia nini hasa katiba imekosa? au basi tu maadam wapinge,,,, au kuna agenda nyingine hatuijui.......
Yes and NO!! Kuna kitu hamukijui,Yes, kuna agenda ya siri!NO
Ambacho hamukijui ni kuwa kwenye katiba kunatakiwa kuwe na ufumbuzi wa kisheria na kikanuni bila ya kuacha loopholes zitkazoweza kupindisha nia ya katiba,mfano katiba hii inasem wakulima wana haki,ni sawa lakini vipi akitokea mtu wa kuivunja haki hiyo?kuna ulinzi wowote utakaoupata kikatiba?au ukishaambiwa una haki basi unaridhiiika?kama ni hivyo basi hata kaatiba ya zamani haikuwa na tatizo, then kuhusu maadili ya viongozi wa umma katiba ya chenge inasema Bunge litatunga sheria kama litakavyoona inafaa!! Sasa huu ni uchupi kabisa!! Yaani tutunge katiba leo,tuipigie kura kesho,halafu sheria nyingine za kikatiba zitungwe kesho kutwa?????!!!!! Atakayeafiki hilo lazima awe ni punguani,vipi kuhusu haki ya wananchi kumwajibisha kiongozi mzembe?? Katiba yako inasemaje?yaani hii takataka ya chenge ni sawa na zile sugar coated chloroquin za zamani,nje imepakwa sukari lakini ndani ni shubiri,wewe piga kura yako ya ndiyo wenye akili watapiga ya HAPANA.
Haswaaa! Badala ya kuhubiri injili kwa waumuni wao wao wanaingia kwenye siasa wapi na wapi?nyie wachungaji mnataka kutuletea mkanganyiko tu..... na kwa nini iwe nyie tu au wenye asili yenu
Yes and NO!! Kuna kitu hamukijui,Yes, kuna agenda ya siri!NO
Ambacho hamukijui ni kuwa kwenye katiba kunatakiwa kuwe na ufumbuzi wa kisheria na kikanuni bila ya kuacha loopholes zitkazoweza kupindisha nia ya katiba,mfano katiba hii inasem wakulima wana haki,ni sawa lakini vipi akitokea mtu wa kuivunja haki hiyo?kuna ulinzi wowote utakaoupata kikatiba?au ukishaambiwa una haki basi unaridhiiika?kama ni hivyo basi hata kaatiba ya zamani haikuwa na tatizo, then kuhusu maadili ya viongozi wa umma katiba ya chenge inasema Bunge litatunga sheria kama litakavyoona inafaa!! Sasa huu ni uchupi kabisa!! Yaani tutunge katiba leo,tuipigie kura kesho,halafu sheria nyingine za kikatiba zitungwe kesho kutwa?????!!!!! Atakayeafiki hilo lazima awe ni punguani,vipi kuhusu haki ya wananchi kumwajibisha kiongozi mzembe?? Katiba yako inasemaje?yaani hii takataka ya chenge ni sawa na zile sugar coated chloroquin za zamani,nje imepakwa sukari lakini ndani ni shubiri,wewe piga kura yako ya ndiyo wenye akili watapiga ya HAPANA.
Safi sana kwa kutuweka wazi ili watanzania wengi wapate kuelewa.
Umeelewa nini hapo? Sura moja ndo imebeba katiba nzima? Umetumia yule mkuu wa mkoa wa dar kufikiri na siyo kichwa chako

Hivi ukiwauliza wachungaji ni kwa nini hawataipigia kura ya NDIO katiba wanakuambia nini hasa katiba imekosa? au basi tu maadam wapinge,,,, au kuna agenda nyingine hatuijui.......
Ukijaribu kunitisha ni kazw bure,hadi sasa tuna katiba ya JMT iliyotungwa mwaka 1977,hii nyingine inayopinganisha wananchi bado haijawa katiba ya Jmt period,subiri kwanza ipite kwenye kura ndiyo uiite hivyo,hii bado ipo kwenye mikono ya wachache,imeandikwa na CHENGE!!!au mwandishi wa katiba hiyo wanayoipendekeza ni nani??zamani kulikuwa na tume zilizoitwa. Za NYALALI,tume ya KISANGA nk,pia juzi hapa kulikuwa na tume ya jaji WARIOBA,sasa kwa nini hii isiwe ya CHENGE? Au hili jina linawatisha hata nyie!!!!! Na kama hii post yenu iko against any possible challenge musingeiweka hapa,mungeimalizia huko kwenye vigenge vyenu,nani anakurupuka hapa?Tamar usikurupuke kudandia gari kwenye matairi utapasuka! Kwa taarifa yako kwa sas Chenge unayemjua hana Katiba, katiba ni yetu wananchi wenye akili,usikalie kushikiwa akili utatumiwa kama dustibin kazi yako ikiisha unabakia mlangoni!kikubwa ni kujitambua fanya kazi kwa bidii ili hiyo haki na maisha bora uyaone acha kupiga kelele we jobless!
Ukijaribu kunitisha ni kazw bure,hadi sasa tuna katiba ya JMT iliyotungwa mwaka 1977,hii nyingine inayopinganisha wananchi bado haijawa katiba ya Jmt period,subiri kwanza ipite kwenye kura ndiyo uiite hivyo,hii bado ipo kwenye mikono ya wachache,imeandikwa na CHENGE!!!au mwandishi wa katiba hiyo wanayoipendekeza ni nani??zamani kulikuwa na tume zilizoitwa. Za NYALALI,tume ya KISANGA nk,pia juzi hapa kulikuwa na tume ya jaji WARIOBA,sasa kwa nini hii isiwe ya CHENGE? Au hili jina linawatisha hata nyie!!!!! Na kama hii post yenu iko against any possible challenge musingeiweka hapa,mungeimalizia huko kwenye vigenge vyenu,nani anakurupuka hapa?
Una matatizo gani wewe Kidudu, au ni kidudu ambacho kinaleta matatizo kwenye jamii? Huoni kuwa Katiba Inayopendekezwa inaanza na sura moja na nyingine zinafuata? Hilo ni tatizo la watoto wadogo ambao hawajui hesabu au na wewe umo hapo?
Hizo huwa ni akili za watu wa CCM kwa maana kuna msemo wa funika kombe mwana haramu apite.
Tunataka katiba itakayotuwezesha kumwajibisha kiongozi pale anapoenda kinyume na mambo tuliyokubaliana,
Tunataka katiba itakayoturuhusu kwenda mahakamani kudai haki zetu pale zinapokiukwa.
Tunataka katiba inayojipambanua kwa kiongozi yeyote anayekiuka maadili kuwajibika bila kusubiri sauti ya pili,
Ndiyo tunataka katiba itakayotupatia Rais mtumikia watu na Siyo mfalme kama KIKWETE NA FARAO,
Mnayaogopa haya kwa sababu yakipita, kila kichwa cha aina yako kitaishia gerezani na mtatokomea kama utawala wa kirumi,
KWELI NIMEAMINI WEWE NI EBOLA NA NI ANAYEFIKIRIA KWA KUTUMIA MASABURI PEKEE HATAONA MAPUNGUFU YA KATIBA HII.
Karibu tujadili tena ebola.
Baki na hili dogo maana shule yako inaonekana ndogo sana.
Any right that can not be enforced by law, is nothing but a charity word of mounth!