sentino2015
Senior Member
- Apr 9, 2015
- 176
- 30
Ibara ya 68 kifungu cha 1 hadi cha 2,vifungu hivi viwili vinaeleza Mtu anayestahili kuwa Raia wa Tanzania kwa mjibu wa katiba na kifungu cha 2 ibara hiyo hiyo ya 68 Aina za Uraia na namna ya upatikanaji wa uraia huo kwa njia ya kuzaliwa AMA kuandikishwa! Ukiendelea ibara ya 69 katiba pendekezwa inaeleza Haki ya uraia.Ibara ya 70 kifungu cha kwanza hadi cha 6 c inaeleza uraia wa kuzaliwa na ibara ya 71 kifungu cha kwanza hadi 6 ni uraia wa kuandikishwa!JAMANI USILOLIJUA KAMA USIKU WA GIZA TUSOMENI KATIBA KISHA KURA YA NDIYO!kubeza bila kusoma twabeza hata mambo mazuri