sentino2015
Senior Member
- Apr 9, 2015
- 176
- 30
Ibara ya 124,(1)Kutakuwa na serikali za Mitaa katika kila mkoa,manispaa,Wilaya,mji na kijiji katika Jamhuri ya Muungano ambazo sheria zitakuwa za aina na majina yatakayowekwa na sheria itakayotungwa na Bunge au Baraza la wawakilishi.
Ukiendelea kifungu cha 2-3, UTAGUNDUA kuwa madaraka kwa umma yapo wazi na ndiyo mfumo shirikishi.
Kwa kifungu hiki naendelea kugundua mazuri yaliyomo katika katiba inayopendekezwa..kuliko kuwa na lugha rahisi tu kuwa haifai ndo maana siku hizi naisoma kama chai ya asubuhi ili niwe na hoja nayo.