katiba ni sheria mama kwa nchi yoyote inayoongozwa kudemokrasia, ila ili katiba iwe nzuri lazima ijaribu kukidhi makundi yote ya binadamu. katiba ieleze wazi haki za watu, umiliki wa ardhi na mengine kama hayo. watu wapewe fursa sawa pamoja na kudai HAKI mahakamani.