Katiba PENDEKEZWA

Katiba PENDEKEZWA

Laizer Peter

Senior Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
130
Reaction score
24
SURA YA KUMI NA TANO
TAASISI YA UWAJIBIKAJI.
SEHEMU YA NNE
CHOMBO CHA KUZUIA NA KUPAMBANA NA
RUSHWA.
Ibara Ya 249.-(1) Kwa Madhumuni Ya Kudhibiti
Rushwa,Kutakuwa Na Chombo Ambacho
Kitakuwa Na Jukumu La Kuzuia Na Kupambana
Na Rushwa.
(2) Bunge Litatunga Sheria Itayoweka Masharti
Kuhusu Muundo, Majukumu Na Mamlaka Ya
Chombo Kilichorejewa Katika Ibara Ndogo Ya
(1).
Swali Ni Je Kwani Hii TAASISI YA KUZUIA NA
KUPAMBANA NA RUSHWA Haikogo?

Ufafanuzi Please.
 
Imewekwa kwa mara ya kwanza katika hii Katiba Inayopendekezwa!!
 
Pia inatofautisha na blabla za Warioba ziluzotunga sheria yenyewe kwenye katiba, maana yake ni kwanba washitakiwa wote wa rushwa wangeshitakiwa kwa "kuvunja Katiba" badala ya kuvunja sheria fulani fulani. Hapa utaona wamesema Bunge litatunga sheria.
 
SURA YA KUMI NA TANO
TAASISI YA UWAJIBIKAJI.
SEHEMU YA NNE
CHOMBO CHA KUZUIA NA KUPAMBANA NA
RUSHWA.
Ibara Ya 249.-(1) Kwa Madhumuni Ya Kudhibiti
Rushwa,Kutakuwa Na Chombo Ambacho
Kitakuwa Na Jukumu La Kuzuia Na Kupambana
Na Rushwa.
(2) Bunge Litatunga Sheria Itayoweka Masharti
Kuhusu Muundo, Majukumu Na Mamlaka Ya
Chombo Kilichorejewa Katika Ibara Ndogo Ya
(1).
Swali Ni Je Kwani Hii TAASISI YA KUZUIA NA
KUPAMBANA NA RUSHWA Haikogo?

Ufafanuzi Please.

Hii nchi bhana wewe acha tu, kesi za TAKUKURU ukipitia tovuti yao walioweza kupatikana na hatia, wengi wao ni Maafisa Watendaji wa Kata na Vijini...! Shit, makamishna wote wa polisi Tanzania pamoja na Majaji na Mahakimu ni wala rushwa sana tu...!
 
Mfano Hakimu Aliyerwande Lema wa mahakama ya hakimu.mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam anakula rushwa ktk kila kesi anayotoa judgement, sasa mm najiuliza hivi huyu Hakimu hawa Takukuru hawamuoni? Pamoja na hawa RPC wa mikoani kila siku wanaletewa Milioni 5 ofisini, ina maana hawa Takukuru hawawaoni?
 
Kwa sasa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa imetambuliwa kikatiba na itakuwa na mamlaka zaidi kuliko ilivyo sasa,ambapo ufafanuzi wa mamlaka yake utafafanuliwa kwenye sheria itakayotungwa na hivyo kimsingi uwezo wake katika kupambana na tatizo la rushwa utakuwa mkubwa zaidi na hivyo kuondoa kabisa tatizo la rushwa hapa nchini.
 
Cha muhimu nadhani tuisome katiba pendekezwa na mwisho tukapige kura kwa wingi ili haya tunayoyasema kama mapungufu ya katiba ya sasa yamalizwe na katiba inayopendekezwa,
 
Hii nchi bhana wewe acha tu, kesi za TAKUKURU ukipitia tovuti yao walioweza kupatikana na hatia, wengi wao ni Maafisa Watendaji wa Kata na Vijini...! Shit, makamishna wote wa polisi Tanzania pamoja na Majaji na Mahakimu ni wala rushwa sana tu...!

We mwenyewe Mla Rushwa ndio maana unalaumu wenzako na kuanza kuwataja kwa sababu unawajua ngoja tuipitishe ndo cha moto mtakiona!!!
 
Pia inatofautisha na blabla za Warioba ziluzotunga sheria yenyewe kwenye katiba, maana yake ni kwanba washitakiwa wote wa rushwa wangeshitakiwa kwa "kuvunja Katiba" badala ya kuvunja sheria fulani fulani. Hapa utaona wamesema Bunge litatunga sheria.

Te teh teh teh William Marcon kweli umemchoka yule mzeee, ha ha ha yule ni noma alitaka t
uwe na Serikali ya shirikisho akafikiri Tanzania ni chama cha mpira kama TFF.
 
Mfano Hakimu Aliyerwande Lema wa mahakama ya hakimu.mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam anakula rushwa ktk kila kesi anayotoa judgement, sasa mm najiuliza hivi huyu Hakimu hawa Takukuru hawamuoni? Pamoja na hawa RPC wa mikoani kila siku wanaletewa Milioni 5 ofisini, ina maana hawa Takukuru hawawaoni?

Tuambie humu ulishampa sh. Ngapi wewe acha hizo kupotosha umma afu kama we kidume si ungepeleka ushahidi Takukuru unakalia kulaumu nyie ndio watu nisiowafagilia kabisa mnaona madhambi mnakaa nayo hamsemi!!!!!
 
Mfano Hakimu Aliyerwande Lema wa mahakama ya hakimu.mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam anakula rushwa ktk kila kesi anayotoa judgement, sasa mm najiuliza hivi huyu Hakimu hawa Takukuru hawamuoni? Pamoja na hawa RPC wa mikoani kila siku wanaletewa Milioni 5 ofisini, ina maana hawa Takukuru hawawaoni?

Ulishakwenda kuripoti na kutoa ushahidi usiotia shaka kisha ukaona TAKUKURU wamewaachia bila kuwachukulia hatua?
 
Kweli kabisa huyu Lubajaro ni muoga sana ye kaombwa rushwa afu katoa anategemea rushwa itaisha Takukuru anaijua vizuri hata hakwenda!!
 
Pia inatofautisha na blabla za Warioba ziluzotunga sheria yenyewe kwenye katiba, maana yake ni kwanba washitakiwa wote wa rushwa wangeshitakiwa kwa "kuvunja Katiba" badala ya kuvunja sheria fulani fulani. Hapa utaona wamesema Bunge litatunga sheria.

Duuh yaan ukishtakiwa kwa kutotii ukuu wa katiba mbona kazi unayo....
 
Back
Top Bottom