Laizer Peter
Senior Member
- Feb 19, 2013
- 130
- 24
SURA YA KUMI NA TANO
TAASISI YA UWAJIBIKAJI.
SEHEMU YA NNE
CHOMBO CHA KUZUIA NA KUPAMBANA NA
RUSHWA.
Ibara Ya 249.-(1) Kwa Madhumuni Ya Kudhibiti
Rushwa,Kutakuwa Na Chombo Ambacho
Kitakuwa Na Jukumu La Kuzuia Na Kupambana
Na Rushwa.
(2) Bunge Litatunga Sheria Itayoweka Masharti
Kuhusu Muundo, Majukumu Na Mamlaka Ya
Chombo Kilichorejewa Katika Ibara Ndogo Ya
(1).
Swali Ni Je Kwani Hii TAASISI YA KUZUIA NA
KUPAMBANA NA RUSHWA Haikogo?
Ufafanuzi Please.
Imewekwa kwa mara ya kwanza katika hii Katiba Inayopendekezwa!!
SURA YA KUMI NA TANO
TAASISI YA UWAJIBIKAJI.
SEHEMU YA NNE
CHOMBO CHA KUZUIA NA KUPAMBANA NA
RUSHWA.
Ibara Ya 249.-(1) Kwa Madhumuni Ya Kudhibiti
Rushwa,Kutakuwa Na Chombo Ambacho
Kitakuwa Na Jukumu La Kuzuia Na Kupambana
Na Rushwa.
(2) Bunge Litatunga Sheria Itayoweka Masharti
Kuhusu Muundo, Majukumu Na Mamlaka Ya
Chombo Kilichorejewa Katika Ibara Ndogo Ya
(1).
Swali Ni Je Kwani Hii TAASISI YA KUZUIA NA
KUPAMBANA NA RUSHWA Haikogo?
Ufafanuzi Please.
Hii nchi bhana wewe acha tu, kesi za TAKUKURU ukipitia tovuti yao walioweza kupatikana na hatia, wengi wao ni Maafisa Watendaji wa Kata na Vijini...! Shit, makamishna wote wa polisi Tanzania pamoja na Majaji na Mahakimu ni wala rushwa sana tu...!

Pia inatofautisha na blabla za Warioba ziluzotunga sheria yenyewe kwenye katiba, maana yake ni kwanba washitakiwa wote wa rushwa wangeshitakiwa kwa "kuvunja Katiba" badala ya kuvunja sheria fulani fulani. Hapa utaona wamesema Bunge litatunga sheria.
Mfano Hakimu Aliyerwande Lema wa mahakama ya hakimu.mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam anakula rushwa ktk kila kesi anayotoa judgement, sasa mm najiuliza hivi huyu Hakimu hawa Takukuru hawamuoni? Pamoja na hawa RPC wa mikoani kila siku wanaletewa Milioni 5 ofisini, ina maana hawa Takukuru hawawaoni?

Ulishakwenda kuripoti na kutoa ushahidi usiotia shaka kisha ukaona TAKUKURU wamewaachia bila kuwachukulia hatua?