Katiba pendekezwa

c nilisema utazuga tu we jifanye hamnazo lkn ipo siku utaongea tu hata kwa bakora utasema tu. angalao ya wananchi inaheshimika kuliko yenu hata chooni haitakiwi.. ptuuuuu

Ha ha ha ha Mwalla aka 4REAL naona ndo umetoka Buguruni kupokea jerojero zako na hii mvua teh teh teh njaa zitakuua katiba mpya haizuliki hata ukibana hiyo miguu utaachia tu
 
Mwalla for4Real leo Buguruni wamekutoa ili uje kuchafua hewa!goma la katiba halizuiliki safari imeshika kasi KURA NI NDIYO!
 
mbona kama ni wewe huyo aliye funikwa bendera ya ushindi..


wenye akili hawako upande huo..
na janja yenyu tunaijua hamumpati mtu mwaka huu na mtanunua sana mtaishia kumegwa kuliwa kiboga
 
mbona kama ni wewe huyo aliye funikwa bendera ya ushindi..


wenye akili hawako upande huo..
na janja yenyu tunaijua hamumpati mtu mwaka huu na mtanunua sana mtaishia kumegwa kuliwa kiboga

Bendera ya ushindi anavalishwa dog teh teh tulia ulijiona mjanja kupost mapichapicha yako ukadhani wenzio hawana teh teh teh teh chukua hiyo nyingine za vibaraka wenzio waliojifanya wanajua kupigania jerojero za Buguruni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…