Katiba Tanzania na uraia wa ya nchi mbili(dual citizenship)

Katiba Tanzania na uraia wa ya nchi mbili(dual citizenship)

waltham

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,522
Reaction score
1,045
Dual citizenship plan now in the hands of Tanzania's MPs

border.jpg
Travellers being cleared to enter Tanzania at Namanga border. Tanzanians are far from realising the right to dual citizenship after the drafters of the new constitution failed to take it into consideration. Photo/FILE
By RAY NALUYAGA The EastAfrican

Posted Saturday, January 25 2014 at 17:37
In Summary

  • The government had proposed its inclusion into the draft law but the drafters have instead passed the matter to parliament.
  • Government was concerned that lack of dual citizenship was adversely affecting Tanzanians abroad as it hindered their access to reliable jobs, loans, health services and education in their new countries of residence.

Tanzanians are far from realising the right to dual citizenship after the drafters of the new constitution failed to take it into consideration.

The government had proposed its inclusion into the draft law but the drafters have instead passed the matter to parliament.

Foreign Affairs Minister Benard Membe had said that the government's proposal to the drafters had prioritised dual citizenship.

Mr Membe said the government was concerned that lack of dual citizenship was adversely affecting Tanzanians abroad as it hindered their access to reliable jobs, loans, health services and education in their new countries of residence.

"In its proposals for the new constitution, my ministry gave priority to dual citizenship because we believe that our people abroad will be able to make an immense contribution to the development of their nation if we will achieve this," he said recently as he presented the ministry's budget estimates.

The Citizenship Act of 1995 stipulates that a Tanzanian shall cease to be a citizen if, having attained the age of 18, he or she acquires citizenship of another country voluntarily other than by marriage.

Speaking the launch of a new outreach project for Tanzanians living abroad, Mr Membe called on Tanzanians to put pressure on the Constituent Assembly to discuss and finally pass a provision that allows for dual citizenship in the new constitution. He dismissed as unfounded claims that dual citizenship could compromise national security.

"A regular citizen living abroad cannot be a traitor," he said.

According to Mr Membe, many Tanzanian experts living abroad have the desire to support development initiatives at home through investments but cannot do so due to the fact that the country doesn't allow dual citizenship.

Mr Membe added that Ghana's diaspora contributes $2.1 billion annually, Nigeria's $3.1 billion, and Kenya's $1.6 billion. He said Tanzania has about 2 million people living abroad but they contribute less than $100,000.

Speaking to The EastAfrican, the Commissioner of the Constitutional Review Commission Simai Mohamed Said said the Commission received mixed views regarding dual citizenship, with the majority at the border saying they wanted it because of services they accessed from neighbouring countries.

"When collecting views, we met people in border towns who by the nature of their geographical location have to cross the border to neighbouring countries for education for their children, medical services and jobs," he said.

According to Mr Said, there are some families with close relatives in border towns of neighbouring countries.

He said before the issue of dual citizenship is brought to the fore, it is important to establish exactly how many Tanzanians live abroad and what are their demands.
He noted that some demands can be met without dual citizenship.

The minister said those who can prove that they left the country for economic reasons may be allowed to buy land in Tanzania but be excluded from other citizenship privileges such as working as state officers or members of the defence forces.
 
Watanzania watu wanajabu Kenya wameruhusu Mbona hatusikii hao wezi wanaokimbia na pesa! Wengi watakaopata dual ni Watanzania wazawa au watoto wa wazawa. Hiyo ni kali ukikataliwa Haki ya kwenda kwenye misaba ya ndugu kwasababu ya wanasiasa. Wengi wapingaji ni kama uivu zaidi kwasababu hakujawahi kutolewa sababu za msingi. Watu wa diaspora wanaongezeka maana maisha ni kila mahali na siwezi kuaa Tanzania bila kipato eti kwasababu ya Utanzania Wakati una nafasi ya kunufaisha familia yako na nchi Ukiwa na kipato. Vilevile ni kwa babu zetu kwenye makaburi yamekuwepo kabla ya hata uhuru na si Haki ya kisiasa mtu kwenda kwao ni Haki ya kibinadamu! Nashangaa kila kitu siasa
 
Nyie watu wa diaspora jipangeni halafu muanze kuwa lobby wanasiasa wa bongo watabadilisha tuu sheria. Wenzenu wa Uganda na Kenya wali wa lobby wanasiasa wao mpaka wakabadilisha sheria.
 
Nyie watu wa diaspora jipangeni halafu muanze kuwa lobby wanasiasa wa bongo watabadilisha tuu sheria. Wenzenu wa Uganda na Kenya wali wa lobby wanasiasa wao mpaka wakabadilisha sheria.

Hakuna haja kama hawataki poa tu lakini anaye loose sio sisi na ndiyo kila ambacho watu wengi hawajui wengi wetu tunataka uraia kwa mapenzi na mila tu. Sehemu ambayo ndugu zako wapo lakini kitakachotokea ni kwamba Diaspora hawatafanya Investment. Mimi nina kotena mbili na nataka kufungua Hospitali lakini kama wakiniletea mizengwe nitauza vifaa kwasababu sitaweza kufanya investment kama hakuna uhakika kisheria na investment zangu. Mimi sipati hasara nina bima yangu nzuri ya hospitali, elimu, kazi sasa kama wanafikiri ni hasara kwetu waache tu watajua miaka ijayo. Hizo hasara mbona hazionekani Kenya!!! Kenya wako smart zaidi ndiyo maana hawaangalii watu kama sisi wanaangalia nchi
 
Mbona unasusa sasa? Kuna wageni wengi tuu wanataka kuja kufanya investment hapa. Cha msingi ni nyie watu wa Diaspora wacheni kuwa vilema. Take action.
 
ukiukana uraia wa Bongo, haina neno. Kwani ni lazima uwe raia wa nchi mbili? kama ni suala la uwekezaji mbona wageni wapo kibao wamewekeza. Njoo na pesa yako wekeza kama mgeni. Piga hela yako tembea kwanza utakuwa umewasaidia ndg zako ajira. Ila suala la DUAL CIT kwenye katiba hilo, BIG NO.
 
Mgeni anaweza kufukuzwa muda wowote na mali yake ikaporwa na serikali. Nafikiri hilo ndilo linalowapa hofu hao watu wa Diaspora. Wanaotufisadi siyo raia wa nchi nyingine, ni hawa hawa raia wa Bongo.
 
Mgeni anaweza kufukuzwa muda wowote na mali yake ikaporwa na serikali. Nafikiri hilo ndilo linalowapa hofu hao watu wa Diaspora. Wanaotufisadi siyo raia wa nchi nyingine, ni hawa hawa raia wa Bongo.
Asante.
Ila Ndg yangu hiyo ni hofu tu!!! Kwa sasa habari ya utaifishaji ilishakufa kitambo sana. Kwa sasa tuna sera zinazolinda wajasiliamali, ndiyo maana unaona uwekezaji wa sekta binafsi unazidi kuongezeka hapa nchini na unazalisha ajira kutosha kiasi chake kwa Watz. Waje tu wasiogope. Kumbuka wageni kibao wamekuja hapa Bongo na mitaji yao and they are doing very good. Tena hao wakija hapa watapata na tax holidAYs ambazo wazawa hawapati kama motisha, kumbuka hilo.
They are welcomed here as foreigners
 
Hao unawaongelea ni wale waliofanya uwekezaji wa zaidi ya shilingi milioni 200. Hawa watu wa diaspora sidhani kama wengi wana hela kiasi hicho. Na usijidanganye kwamba serikali haiwezi kupora watu mali zao. Wakikuona kama uko kama threat kisiasa au kwenye ufisadi wanaofanya, unaweza kupewa masaa 48 tuu ukaambiwa uondoke nchini na kila kitu unakiacha.
 
Unasema tuje kama wageni mimi sio mgeni nimezaliwa na kukua Tanzania. Mimi ni Mtanzania na sijui maana ya kukana kwasababu sijawahi kuulizwa umetokea wapi nikasema USA bali nasema Tanzania na watu wengi wa diaspora wazawa wanasema ni watanzania. Utanzania sio siasa ni asili na huwezi kukana uhasili wako na uhasili sio passport. Mandela alikuwa hana passport na alitumia passport ya Tanzania kusafiri kabla hajafugwa miaka ya sitini lakini Mandela hakuwa Mtanzania kwasababu ya passport bali Mandela alikuwa mtu wa South Africa hata kama walikataliwa passport. Uzawa si haki ya kisiasa ni haki ya kibinadamu na katiba iliwekwa wakati wa ujamaa baada ya uhuru . Dunia imebadilika sana mfano elimu si wote tungeza kuingia chuo kimoja kikuu pale University ya Dar!! hivyo twende na wakati Watanzania milioni 3 wapo na wanafnaya kazi na kutafuta maisha nchi nyingine lakini ni Watanzania na wengi wao wanasaidia familia kuliko hata wale walio pale Tanzania!. Mtu yeyote aliyezaliwa kwenye nchi na familia yake imezaliwa hapo ana haki zote za kujiita mtu wa hapo hata kama anakaa nchi tofauti. Hiyo lugha ya kukana uraia imewekwa wakati wa Tanzania ikiwa inaendeshwa bila demokrasia lakini haina maana kwasababu hakuna nchi inakuambia uukane uhalisi wako bali wanakuuliza kama una support nchi unayoishi. Huwezi kusema wanasiasa na watu wengine ndiyo waamue wewe ni nani??. kitu kingine cha kuangalia je unajua mjukuu wako miaka ijayo maisha yake yatakuwa vipi? anaweza kupata chuo nchi nyingine au hata akaoa huko lakini ni Mtanzania!
 
...#Wanasiasa na ahadi zao ahadi nzuri nzuri.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom