Watanzania tumekuwa watu wa malumbano na taratibu ambazo haziishi! Katiba imegeuka kuwa drama kubwa wakati kila mtu akijua ni kitu gani kinahitajika kufanywa. Je Katiba mpya ya Kenya inakasoro gani?? sijaona kasoro yeyote mpaka sasa!!. Tofauti kubwa ni kwenye swala la Zanzibar tu lakini mambo mengine yote niliyoyaona kwenye katiba mpya ya Kenya nakubaliana nayo. Badala ya kupoteza pesa nyingi na miaka ya vikao na wazee wa wa mitaa na viongozi waliostaafu ambao wengi ni wala rushwa ni bora tu cut/paste katiba ya Kenya na kubadilisha kidogo. Kama ujaisoma nashauri ufanye hivyo.