Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977
Inaitaka Serikali kuwajibika kwa watu wake katika maswala yote yanahusu maslahi ya watu hao.
Aidha Katiba hiyo pia inaweka ukomo kwa Mahakama katika kusikiliza shauri lolote litakaloletwa mbele yake dhidi ya Serikali kwa kushindwa kutekeleza jukumu la Kuwajibika kwa watu wake.
Aidha Katiba hiyo pia inaweka ukomo kwa Mahakama katika kusikiliza shauri lolote litakaloletwa mbele yake dhidi ya Serikali kwa kushindwa kutekeleza jukumu la Kuwajibika kwa watu wake
Ndugu mleta mada ningependa kujua huo ukomo ni upi uliowekwa na mahakama. Na nikatika mazingira yapi, serikali haiwezi kushtakiwa kwa kutowajiba kwa wananchi.
Siku nikiwa rais nitawafunza adabu, Ntaiba mpaka mumkumbuke rais alienitangulia. Kama siwez kushtakiwa?, Hivi wanasheria (Wale wanaharakati) wetu hawalioni hili