Katiba ya 1977,imepitwa na wakati mapungufu ni mengi

Katiba ya 1977,imepitwa na wakati mapungufu ni mengi

Retina

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
1,039
Reaction score
1,163
Spika anajiuzuru anaandika barua kwa katibu mkuu wa ccm na sio Katibu wa Bunge.Katiba haioneshi chochote.
Spika anapendekezwa na mwenyekit wa chama ambaye ni mkuu wa mhimili wa dola.Katiba inasemaje.
Katiba inaonesha upatikanaji wa spika baada ya uchaguz mkuu,haioneshi akijiuzuru atapatikana vipi!
Katiba mpya inahitajika ila kuna watu wabishi sana wanalazimisha tu.
 
Back
Top Bottom