Utekelezaji wa kazi na shughuli za Rais, n.k. Sheria Na. 15 ya 1984 ib. 9; 4 ya 1992 ib. 12; 20 ya 1992 ib. 4; 34 ya 1994 ib. 6; T.S. Na. 133 la 2001 *
(1) Mbali na kuzingatia masharti yaliyomo katika Katiba hii na katika sheria za Jamhuri ya Muungano katika utendaji wa kazi na shughuli zake, Rais atakuwa huru na hatalazimika kufuata ushauri atakaopewa na mtu yeyote, isipokuwa tu pale anapotakiwa na Katiba hii au na sheria nyingine yoyote kufanya jambo lolote kulingana na ushauri anaopewa na mtu au mamlaka yoyote.
Mkuu sidhani
Hii inamzuia rais kupokea mawazo ya mke wake usiku wakiwa nyumbani na akaja kuyafanya ndio maamuzi asubuhi yake na ndo maana waliliona hilo
Maana hapo wanasema mtu yoyote na hapo hata mke ni mtu yoyote na inapotokea kuwa mke amemshauri kamfukuze kazi waziri fulani kwa kuwa hapatani nae rais anazuiwa kuchukua maamuzi kama hayo