Katiba ya akaunti ya bank ya kikundi

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,662
Wakuu,

Naomba mwenye template ya katiba ya akaunti ya kikundi, hasa inayofaa kwa bank kama NMB anipe idea au ikiwezekana atupie huku ili nijue namna ya kuandika. Naihitaji kwa ajili ya kufungua akaunti ya kikundi. Najua kuandika minutes and resolution to open bank account, katiba sijawahi.
 
Mimi ningeweza kukusaidia mwongozo kwa akaunti ya CRDB..
kila la heri huko uendako!
 
Katiba ya akaunti? au katiba ya kikundi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…