Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kama unafuatilia kwa ukaribu Uchaguzi unaoendelea sasa hivi hapo Mlimani City utagundua kuwa kwa nje kuna mkusanyiko wa makada tofauti tofauti wanaojitambulisha kama Team Lissu na Team Mbowe
Kinachonipa maswali ni namna ambavyo wanachama wa wanatetea na kunadi wagombea wao hadharani kabisa ilhali ni siku ya Uchaguzi.
Kwenye chaguzi za kitaifa, siku ya kampeni sote tunajua kwamba siku ya Uchaguzi especially kwenye polling stations ni marufuku kupiga kampeni eneo hilo.
CHADEMA wanapata wapi nguvu ya kufanya kampeni siku ya kupiga tena kwenye eneo maalum kwa ajili ya kupiga kura?