MFUKUZI
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 933
- 700
Wanajavi.. Ninatafuta sana version ya Kiingereza ya Katiba ya JMT inayopendekezwa (Katiba ya Chenge).. Yoyote mwenye kuweza kunisaidia nitashukuru kwa msaada wake!!
NB: Ni vizuri tuzipime zote mbili kama zina maudhui yanayofanana.. Kama mtakumbuka kulikuwa na mgongano wa lugha kwenye Sheria ya Mabadiliko ya Katiba kwenye kipengele cha Mamlaka ya Bunge Maalum la Katiba juu ya Rasmu ya Warioba.