njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Dah yaani Rais anateua IGP ila inabidi akathibitishwe na bunge na kumbuka siyo bunge la kina msukuma, huko kuna upinzani wa ODM.
Pamoja na matatizo baadhi waliyonayo hawa watu wametuacha mbali sana kiakili na kini thabiti, kilichobaki huku kwetu ni comedy, unafiki na propaganda za kiduwanzi sana.
Yaani hawa jamaa hata jaji mkuu anafanyiwa interview tena live kwenye tv, kesi kubwa zinaruka live kwenye tv huku hata updates kwenye simu ya kesi ya mbowe ilitaka kuleta kizaazaaa.
Mungu awabariki wakenya wafike watakapo kwa haraka sana sababu nia wanaionyesha unlike sisi tuliowekeza kwenye UNAFIKI NA KUDANGANYANA KAMA MITOTO MIDOGO.