Wana JF,
Katika kupitia gazeti la Kenya leo DAILY NATION naona hawa ndugu zetu wa kenya katiba yao ina mwelekeo kama fumo fulani wa USA naona watu wanagombea majimbo yanakuwa na watu wanatakao waongoza kwa majimbo yao na kila jimbo kujitegemea na ukichemka tu kama kiongozi inakula kwako.

That's a big problem of we developing countries. we are always mimicing what the developing world doing hoping that we'll develop rapidly and match them over the sudden. we forget that, their current laws and legislation passed through evolution. Thus, their laws are compartible with their social contracts.
This kind of law/constitution drafting (copying) leads to the failure of the implementing of the same.
Hata mimi huu mfumo wa kuita viongozi "maseneta' na magavana" ulinikera sana tulipokuwa tuajadili vipengee wa kadha kabla ya uchaguzi. Lakini mimi nilionelea afathari kuipigia debe katiba maanake kuna vipengee vingineo muhimu sana kuliko vile vya katiba tuliobadilisha. Nadhani waandishi (kamati ya wataalam) wa katiba, hasaa ule kiongozi wao (Nzamba Kitonga) hawajaelimika vya kutosha kuhusu adhari za kuzienzi sana mifumo kutoka nchi za ng'ambo. Ama labda Marekani ilimuahidi kitita cha pesa ili atupilie mbali mfumo wa Waingereza na kuleta mfumo wa Marekani.
Wapumbavu kabisa
That's a big problem of we developing countries. we are always mimicing what the developing world doing hoping that we'll develop rapidly and match them over the sudden. we forget that, their current laws and legislation passed through evolution. Thus, their laws are compartible with their social contracts.
This kind of law/constitution drafting (copying) leads to the failure of the implementing of the same.
Wana JF,
Katika kupitia gazeti la Kenya leo DAILY NATION naona hawa ndugu zetu wa kenya katiba yao ina mwelekeo kama fumo fulani wa USA naona watu wanagombea majimbo yanakuwa na watu wanatakao waongoza kwa majimbo yao na kila jimbo kujitegemea na ukichemka tu kama kiongozi inakula kwako.
Not good for business, it supports xenophobia and racism for the minorities!
Ukweli ndo huo ni kwamba historia ndo inakufanya ubadilishe katiba na uchumi wako ndo utakaokutaka kuibadilisha.That's a big problem of we developing countries. we are always mimicing what the developing world doing hoping that we'll develop rapidly and match them over the sudden. we forget that, their current laws and legislation passed through evolution. Thus, their laws are compartible with their social contracts.
This kind of law/constitution drafting (copying) leads to the failure of the implementing of the same.
CHADEMA walishakuja na hiyo sera sisi tukawaona wajinga...Wana JF,
Katika kupitia gazeti la Kenya leo DAILY NATION naona hawa ndugu zetu wa kenya katiba yao ina mwelekeo kama fumo fulani wa USA naona watu wanagombea majimbo yanakuwa na watu wanatakao waongoza kwa majimbo yao na kila jimbo kujitegemea na ukichemka tu kama kiongozi inakula kwako.
Just remember kuwa Kenya ilikuwa na majimbo kwenye Katiba ya kwanza, kabla haijachokorwa na mapoliticians kwa hiyo sioni walipo iga.
original 1963 Katiba provided for Regional Assemblies which had exclusive authority over land, primary and secondary education, local taxes, police force and local government.
It is the Kenyatta then Moi regimes that changed all that. Now I am not saying that some amendments were no required, but it was amended mainly to a presidential system (origina ilikuwa waziri mkuu) that vested all the powers on the president giving him supreme power over all the other organs of the government.
So you see, the Kenyan people have always been against a supreme central government, but the powers that be forced it upon us and that is why the people have been fighting against the supremacy of the central government achieved through the provincial administration.
Even right now there is a struggle brewing up as the government wants to keep the provincial admin. while the people do not want it.
Soma Katiba yenyewe hapa utaona palikuwepo ma Senator, governor hata county councils.
Hata iwe majimbo yalikuwapo tangu 1963, bado ni kuiga toka US, maana Katiba ya US ipo tangu karne ya 18. wangetumia chiefdom badala ya majimbo ningesema in asili ya kenya licha ya kwamba inaleta ukabila,(tz tuliimaliza hiyo kwa Nyarubanja enfranchisement Act 1963 na baadaye Chiefdom enfranchisement Act 1967). maana katika historia yetu kama waafrika hatuna majimbo wala mikoa wala wilaya.
Kama itasaidia wananchi, it's well&good. but I'm doubt if it'll help them coz US people are quite different from knys and it's not originated from your culture and social contract. Nimeisoma vipengere vingi, lkn nikaona kuna baadhi, you can't turn them into visualization with FullHD. e.g uquetable land redistribution.Hata iwe ya kuiga, bora isaidie wanainchi ndilo jambo muhimu, kama unafikiri kuna katiba ambayo imetengenezwa bila kuiga (I prefer "Borrowing ideas"), basi umepotea. Na pia ujue kama TZ mnasubiri kutengeneza katiba "Original" hamtafanikiwa, mwenye maarifa huomba usaidizi wa kimawazo kwa mwenziye aliyefanikiwa. Kuna uwezekano wakati ukifika wa kubadili katiba ya TZ, mtaomba usaidizi kutoka Kenya.
Kama itasaidia wananchi, it's well&good. but I'm doubt if it'll help them coz US people are quite different from knys and it's not originated from your culture and social contract. Nimeisoma vipengere vingi, lkn nikaona kuna baadhi, you can't turn them into visualization with FullHD. e.g uquetable land redistribution.
lastly, RealD, there is a big difference btn borrowing concepts/ideas and mimicing/copying in laws/constitution drafting, and even in definition clinic. What i see in your constn is a number of copied phrases and articles, and replacing the word kny.
Not good for business, it supports xenophobia and racism for the minorities!
Hata iwe majimbo yalikuwapo tangu 1963, bado ni kuiga toka US, maana Katiba ya US ipo tangu karne ya 18. wangetumia chiefdom badala ya majimbo ningesema in asili ya kenya licha ya kwamba inaleta ukabila,(tz tuliimaliza hiyo kwa Nyarubanja enfranchisement Act 1963 na baadaye Chiefdom enfranchisement Act 1967). maana katika historia yetu kama waafrika hatuna majimbo wala mikoa wala wilaya.
Unavo sema hivi, unaongelea neno tuu ama maana yake. Sababu as far as I know Africa hatujawahi kuwa na centralised government. Infact ukiangalia most tribes Africa tulikuwa averse to a centralised structure, ndio maana palikuwepo councils of elders bambao wali-oversee independently community mbalimbali.katika historia yetu kama waafrika hatuna majimbo wala mikoa wala wilaya.