mzalendoalltz JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 828 Reaction score 709 Aug 27, 2020 #1 Kuna kipindi alikuja mjinga mmoja hapa akasema utamu wa katiba ya kenya na kuponda sana katiba ya tanzania nakubali katiba yetu ina mapungufu na ya kwao ni nzuri ila nashangaa kwann wanataka kuibadilisha to suit some minority needs and not majority. Utamu wa katiba mpya, Wakenya tujifunze na yanayotendeka Zimbabwe Hili taifa linaongozwa na wahuni na ni wakati wa kukabidhi taifa hili kwa wakenya halisi na ni lazima mpambane ili kulirudisha taifa lenu. Nilijua ni sehemu ya kujifunza nashangaa wanataka kurudi kulekule kwa zamani
Kuna kipindi alikuja mjinga mmoja hapa akasema utamu wa katiba ya kenya na kuponda sana katiba ya tanzania nakubali katiba yetu ina mapungufu na ya kwao ni nzuri ila nashangaa kwann wanataka kuibadilisha to suit some minority needs and not majority. Utamu wa katiba mpya, Wakenya tujifunze na yanayotendeka Zimbabwe Hili taifa linaongozwa na wahuni na ni wakati wa kukabidhi taifa hili kwa wakenya halisi na ni lazima mpambane ili kulirudisha taifa lenu. Nilijua ni sehemu ya kujifunza nashangaa wanataka kurudi kulekule kwa zamani